Wachimba madini walalamikia kukosa vifaa vya kisasa

  • | TV 47
    MADINI YA TAITA TAVETA Kaunti ya Taita Taveta ni mojawapo ya kaunti zilizo na madini ya aina tofauti tofauti, hata hivyo wengi wa wachimba madini walalamikia kukosa vifaa vya kisasa kufanya shughuli zao. #TV47News #Tv47PwaniStudio