Wachimba migodi waliofariki baada ya kuzikwa hai mgodini wamepatika

  • | West TV
    80 views
    Shughuli za kuwaokoa wachimba migodi wawili waliofunikwa na udongo kwenye mashimo ya migodi katika kijiji cha dhanda kaunti ya vihiga alasiri ya jana jumatano zinaendelea baada ya mwili wa mwanaume mmoja kuondolewa katika operesheni hiyo huku mwingine akiwa ameruhusiwa kuondoka hospitalini baada ya kuokolewa jumatano Taarifa njema na vile vile bado ya kuhuzunisha ni kuwa wawili waliokuwa bado wanasakwa, wamepatika wakiwa wamefaiki. Miili yao imepelekwa makafani ya vihiga