17 Sep 2025 10:37 am | Citizen TV 197 views Duration: 1:26 Muungano wa wachimbaji madini wadogo nchini (ASMAK) ukiongozwa na mwenyekiti wao Ahmed Salah, umewataka wachimbaji wadogo kote nchini kuunda vyama vya ushirika vya kikanda.