5 Sep 2025 10:49 am | Citizen TV 130 views Duration: 1:30 Wakaazi wa Osiri, eneo bunge la Nyatike kaunti ya Migori wanaelezea matumaini yao mpango mpya wa uchimbaji visima unaolenga kukabiliana na uhaba wa maji safi katika eneo hilo