Skip to main content
Skip to main content

Wachira Waruru aongoza RMS katika mazishi ya Mama Joyce Waweru Nanyuki

  • | Citizen TV
    664 views
    Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Royal Media Services, Wachira Waruru, aliwaongoza wafanyakazi wa RMS katika mazishi ya Mama Joyce Waweru, mamake Mkurugenzi wa Kiufundi wa Royal Media Services Moses Karanja, yaliyofanyika eneo la Marura, Nanyuki, Kaunti ya Laikipia. Waruru alimtaja Mama Joyce kama nguzo muhimu aliyetoa mchango mkubwa kwa familia na jamii kwa ujumla