Skip to main content
Skip to main content

Wachunguzi wa ajali ya ndege iliyomuua mbunge Nge’eno wamehoji watu 8 tayari

  • | Citizen TV
    1,256 views
    Duration: 2:16
    Uchunguzi wa ndege iliyosababisha vifo vya watu 6 akiwemo mbunge wa Emurua Dikirr Johana Ng'eno unaingia siku ya tatu hii leo, huku wachambuzi wa ajali za ndege wakifika katika eneo la mkasa kaunti ya Nandi. Kamati ya pamoja ya uchunguzi ikiwa tayari imewahoji watu 8 kuhusiana na ajali hiyo ya Jumamosi iliyopita.