Skip to main content
Skip to main content

Wachunguzi wafika Mosop, waanza uchunguzi wa ajali ya ndege Nandi

  • | Citizen TV
    2,496 views
    Duration: 2:56
    Uchunguzi wa ajali ya ndege iliyowaua watu sita akiwemo Mbunge wa Emurua Dikirr Johanna Ng'eno umeanza rasmi huku wachunguzi leo wakifika eneo la tukio. Wataalam na wachunguzi wa ajali za ndege wamekusanya vifaa na mabaki ya ndege kutoka eneo la tukio. Na kama Emily Chebet anavyoarifu, wanaoshuhudia wameripoti namna ndege hiyo ilitua kwa muda karibu na eneo la tukio kabla ya kuanguka dakika chache baadaye