29 Oct 2025 1:18 pm | Citizen TV 457 views Duration: 1:23 Wachuuzi wa miraa katika eneo la Pumwani kaunti ya Nairobi wamelalamikia njama ya kuwafurusha kutoka eneo hilo na kutaka kaunti ya nairobi kuingilia kati.