Skip to main content
Skip to main content

Wachuuzi wazua rabsha sokoni Gikomba kuhusu uhamisho

  • | Citizen TV
    9,866 views
    Duration: 2:57
    Kizaazaa kilishuhudiwa katika soko la Gikomba baada ya baadhi ya wafanyabiashara kuwazuia maafisa wa serikali waliokuwa wanapima eneo walilopaswa kuhama. Zoezi hilo ni sehemu ya mpango wa kufungua mkondo wa mto nairobi na kujenga soko jipya la gikomba. Wanaopinga wakisistiza hawafahamu ni kwa nini eneo la kuhama limeongezwa, huku serikali ikisisitiza kuwa wote wanaoishi karibu na mto lazima wahame.