Skip to main content
Skip to main content

"Wacjhekeshaji wa Tanzania wamekimnilia kutengeneza maudhui"

  • | BBC Swahili
    5,315 views
    Duration: 2:18
    @captain_khalid ni mchekeshaji wa Tanzania mwenye makazi nchini Ujerumani ambaye ameweza kufanya maonesho makubwa katika majukwaa ya vichekesho Ulaya. Ni nini kinachomfanya afanikiwe zaidi Ulaya kuliko nyumbani Afrika Mashariki? Na je, wachekeshaji wa Afrika Mashariki wanawezaje kupenya na kuliteka soko la kimataifa? Mwandishi wa BBC @frankmavura amezungumza naye na kuandaa taarifa hii Unaweza kutazama mahojiano kamili kupitia ukurasa huu wa YouTube wa BBC Swahili. #bbcswahili #ujerumani #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw