Wadau katika sekta ya bima wakongamana jijini Mombasa

  • | Citizen TV
    250 views

    Hili ni kwa mujibu wa wadau katika sekta ya bima ambao wamekutana mjini Mombasa katika kongamano la Bancassurance jijini Mombasa. Kampuni ya bima ya Directline Assurance ni mojawapo ya kampuni za bima zilizowakilishwa katika kongamano hili ambalo limetoa fursa ya kujadili maswala yanayoathiri sekta ya bima humu nchini.