Wadau katika sekta ya elimu wanataka wizaraya elimu kupewa ufadhili ili kushughulikia janga la Covid

  • | KBC Video
    Wadau katika sekta ya elimu wanataka wizara ya elimu kupewa ufadhili wa kutosha ili kushughulikia changamoto zinazotokana na janga la Covid-19. Wadau hao wanasema idadi kubwa ya wanafunzi wanasitisha masomo yao kutokana na matatizo ya kifedha. Wakati huo huo wamesema kuwa uwekezaji katika ustawi na pia elimu ya chekechea utasaidia pakubwa kupunguza pengo la usawa humu nchini. …Wadau katika sekta ya elimu wanataka wizara ya elimu kupewa ufadhili wa kutosha ili kushughulikia changamoto zinazotokana na janga la Covid-19. Wadau hao wanasema idadi kubwa ya wanafunzi wanasitisha masomo yao kutokana na matatizo ya kifedha. Wakati huo huo wamesema kuwa uwekezaji katika ustawi na pia elimu ya chekechea utasaidia pakubwa kupunguza pengo la usawa humu nchini. … Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNews #Kenya