Mfumo wa kutoa ujuzi zaidi ya kiteknolojia kwa vijana

  • | Citizen TV
    135 views

    Wakizungumza katika hafla iliyowaleta pamoja wakuu wa sekta hiyo ya majani chai kutoka eneo la magharibi na bonde la Ufa, na wakuu wa vyuo vya masomo ya ufundi, wadau hao wamesema kuwa kuna haja ya kuwapa mafunzo bora ya ufundi kupitia mfumo huo.