Wadau katika sekta ya uchukuzi na biashara Malindi watoa wito

  • | Citizen TV
    264 views

    Wadau wa sekta ya uchukuzi, pamoja na wafanyibiashara katika mji wa kitalii wa Malindi wanaendelea kutoa wito wa Amani wakati huu wa kampeni na baada ya uchaguzi mkuu. Wanadai iwapo uchaguzi utaleta utata huenda sekta ya utalii ambayo imeanza kuonyesha dalili za kufufuka ikasambaratika tena