Wadau kutoka Ulaya watofautiana na ujumbe wa Afrika

  • | Citizen TV
    435 views

    Ujumbe wa Afrika kwenye majadiliano yanayoendelea COP29 umevunjwa moyo na muungano wa G77 ambao umejitenga na baadhi ya maandishi kwenye mikataba kuhusu ufadhili wa fedha. Muungano huo sasa unataka marekebisho kufanywa kabla ya saa kumi na nusu alasiri ya leo.