Wadau mbali mbali washirikiana na serikali kuondoa watoto wanaoranda ovyo katika kaunti ya Samburu.

  • | KBC Video
    2 views

    Wadau mbali mbali katika kaunti ya Samburu wanashirikiana na serikali ya kitaifa kuwaondoa watoto wanaoranda randa ovyo mjini Maralal na kuwarejesha makwao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #KenyaElection2022 #News