Wadau mbalimbali wanajumuika kaunti ya Nakuru kwa hamasisho ya upangaji uzazi

  • | Citizen TV
    157 views

    Kesho tarehe 26 mwezi wa tisa itakua siku ya maadhimisho ya siku ya Kupanga Uzazi kote duniani huku washika dau katika sekta ya afya katika kaunti ya Nakuru wakiendelesha warsha ya kuelimisha washika dau mbalimbali.