Wadau na wanafunzi wa chuo kikuu cha Kisii wahamasisha umma kuhusu HIV

  • | Citizen TV
    298 views

    Washikadau mbalimbali kaunti ya Kisii pamoja na wanafunzi kutoka chuo kikuu cha Kisii wanaendelea na msafara wa kuhamasisha jamii kuhusu ugonjwa wa ukimwi hususan miongoni mwa vijana wakati huu ambapo likizo ndefu inaanza rasmi. Mashirika mbalimbali yanaendelea kuhimiza washikadau wote Kisii kushirikiana kupambana na dhulma za kijinsia ambazo zimeongezeka katika siku za hivi karibuni katika kaunti hiyo