Wadau wa afya kaunti ya Homa Bay wahamasisha wanafunzi jinsi ya kudhibiti magonjwa yaletwayo na mvua

  • | Citizen TV
    146 views

    Washikadau wa afya katika kaunti ya Homa-Bay wameanza kutembelea shule mbalimbali kutoa ushauri kwa wanafunzi kuhusu jinsi ya kukabiliana na athari za mvua ya elnino. kadhalika wanatoa matibabu ya bure kwa wakazi ambao baadhi tayari wameambukizwa malaria msimu huu wa mvua.