Wadau wa afya wameitaka serikali kuwekeza zaidi kwenye vifaa vya kisasa

  • | Citizen TV
    Inaarifiwa kuwa wakenya wengi hutafuta matibabu kuchelewa Uhaba wa vifaa katika hospitali nyingi umetatiza utambuzi wa magonjwa