Wadau wa biashara wataka shirika la Afrika Mashariki kushirikishwa katika mipangilio ya kibiashara

  • | Citizen TV
    244 views

    Washika dau katika sekta ya wafanyabiashara na viwanda nchini wanataka muungano kama huo ubuniwe afrika mashariki ili kukabiliana na changamoto za wafanya biashara barani. Haya yanajiri huku baadhi ya wafanyabiashara katika mipaka ya Kenya wakilalamikia kile wanasema ni kuhangaishwa wanapojaribu kufanya biashara na mataifa jirani. Mwenyekiti wa kamati ya uwekezaji katika bunge la afrika mashariki Suleiman Shahbal ametaka viongozi wa chama cha kitaifa kuhusu wafanyabiashara na uwekezaji katika viwanda kuwa mstari wa mbele kuhakikisha vikwazo hivyo vimekwamuliwa.