Wadau wa elimu waitaka serikali kukamilisha miradi ya ujenzi wa madarasa kaunti ya Nandi

  • | Citizen TV
    100 views

    Wadau wa elimu kaunti ya Nandi wanaitaka serikali kukamilisha miradi ya ujenzi wa madarasa katika kaunti hiyo na bonde la ufa kaskazini ambayo imekwama kutokana na changamoto za kifedha.