- 209 viewsDuration: 1:53Serikali imetakiwa kuendelea kuwawezesha walimu kupata mafunzo ya mara kwa mara ili kuimarisha utekelezaji wa mfumo wa Elimu ya CBE. Wito huo umetolewa na wadau wa elimu kutoka eneo la Magharibi mwa Kenya, ambao wanasema hatua hiyo itachangia kuboresha elimu nchini.