Wadau wa kandanda waamini Hussein Mohammed na Mariga wataleta mabadiliko FKF

  • | NTV Video
    234 views

    Wadau wa kandanda humu nchini wanaamini kwamba rais wa FKF Hussein Mohammed na naibu wake McDonald Mariga wataleta mabadiliko makubwa na kuinua viwango vya soka ambavyo vilidorora chini ya utawala wa Nick Mwendwa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya