Wadau wa sekta ya afya wahojiwa bungeni kuhusiana na mgomo wa madaktari

  • | Citizen TV
    513 views

    Wawakilishi wa vyama vya madaktari, baraza la magavana , wizara za afya na hazina ya kitaifa wamefika mbele ya kamati ya pamoja ya bunge kujadili suala la mgomo wa madaktari.