Wadau wa sekta ya afya wataka mgao kuongezwa

  • | Citizen TV
    24 views

    Wadau katika sekta ya afya wametoa wito kwa serikali za kaunti kuongeza mgao wa fedha ili kukabiliana na vifo vya kina mama wanapojifungua.