Wadau wa sekta ya chai wakutana mjini Nandi hills

  • | Citizen TV
    88 views

    Wadau kwenye sekta ya chai nchini walikongamana mjini Nandi hills, kaunti ya Nandi ili kujadili mbinu mbalimbali za kuboresha zao hilo katika kaunti hiyo.