Wadau wa Utalii wa Mara na Serengeti kushirikiana katika kukabiliana na uwindaji haramu

  • | KBC Video
    Wadau wa Utalii katika hifadhi za wanyama pori za Mara na Serengeti wameaazimia kushirikiana katika kukabiliana na uwindaji haramu.Gavana wa kaunti ya Narok Samuel Ole Tunai amesema Kenya na Tanzania mwaka huu zitaandaa shughuli ya pamoja ya kuhesabu vifaru kama sehemu ya juhudi za kulinda wanyama hao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive