Wadau wa utalii wanasema kuna haja ya kuuza utamaduni na sanaa

  • | Citizen TV
    131 views

    Wadau katika sekta ya utalii wameitaka serikali kuweka mikakati ya kuwavutia watalii zaidi kutoka mataifa ya kigeni.