- 109 viewsDuration: 3:00Wadau wa elimu katika visiwa vitano vilivyomo ziwani Viktoria wameanza mchakato wa kuhakikisha kwamba mtoto wa kike anasalia darasani licha ya changamoto za kifedha. Wadau hao wamenzisha mbio za kuchangisha fedha ili kuhakikisha wasichana wote visiwani wamepata elimu