Wadau waandaa mikakati ya kuimarisha somo la hesabu Narok

  • | Citizen TV
    88 views

    Katika jitihada za kuinua viwango vya elimu nchini, somo la hesabu limeendelea kupewa kipaumbele. Hii inadhihirishwa na juhudi mbalimbali za mashirika ya kielimu kama vile CEMASTEA iliyoko katika Wizara ya elimu ambayo imekuwa mstari wa mbele kuandaa mashindano ya kitaifa na kimataifa ya hesabu kwa wanafunzi wa shule za upili. Nancy Kering na taarifa zaidi