Wadau wataka fedha zaidi kwa ujenzi na ukarabati wa viwanja nchini

  • | Citizen TV
    204 views

    Kamati ya michezo ya KYISA sasa inazitaka serikali za kaunti kuongeza mgao wa fedha kwenye bajeti ya idara za michezo ili kusaidia kukuza talanta za michezo mashinani