Wadau wataka mto Ewaso Nyiro uokolewe ili kuhifadhi vyanzo vya maji

  • | K24 Video
    123 views

    Uhitaji wa maji kutoka mto Ewaso Nyiro unavyoongezeka upande wa kaskazini ndivyo shughuli za binadamu wanaoishi sehemu za juu ,zinatatiza mtiririko wa maji na kuathiri maisha ya wanaotegemea maji hayo sehemu za chini. Wadau sasa wanataka kuwe na ushirikiano wa kuhifadhi vyanzo vya mto huo na vile vile kuhamasisa umma kuhusu umuhimu wa kuuhifadhi.