Wadau wataka shule kuwakubali waliojifungua

  • | Citizen TV
    199 views

    Idadi kubwa ya wasichana wanaojifungua wakiwa na chini ya umri wa miaka 18 hawapati nafasi ya kuendelea na masomo.