Wadau wataka shule za bweni kuanzishwa Samburu kutokana na idadi ndogo ya watahiniwa

  • | Citizen TV
    225 views

    Wadau wa Elimu katika Kaunti ya Samburu wameelezea haja ya kuanzishwa Kwa shule za bweni, katika maeneo yanayoshuhudia idadi ndogo ya wanafunzi wanaojitokeza kukumbatia masomo,kama njia Moja wapo ya kuhakikisha wanafunzi kutoka jamii ya wafugaji anasalia shuleni. Hii ni kutokana na hali ya kuwa baadhi ya shule Kaunti hiyo ina idadi ya chini ya watahiniwa katika mitihani ya kitaifa ya KCPE na KPSEA iliyokamilika jumatano wiki hii.