Waendesha bodaboda walalamikia kudorora kwa usalama katika kaunti ya Homa Bay

  • | Citizen TV
    403 views

    Waendesha bodaboda katika mji wa Homa-Bay wanalalamikia usalama wao wanapotekeleza kazi zao haswa nyakati za usiku katika mji wa Homa-Bay na vitongoji vyake. Wahudumu hao wanahofia kuwa endapo hatua za haraka za kiusalama hazitachukuliwa basi sekta hiyo itaathirika pakubwa.