Wafanyabiashara 30 wakamilisha mafunzo kuhusu utengenezaji bidhaa za ngozi

  • | KBC Video
    10 views

    Wafanyabiashara 30 kutoka Kenya, Tanzania, Burundi na Rwanda wamekamilisha mafunzo ya siku tano kuhusu utengenezaji bidhaa za ngozi katika taasisi ya utafiti na ustawi wa viwanda nchini jijini Nairobi. Mafunzo hayo yanaimarisha ujuzi wa watengenezaji bidhaa hizo kuimarisha ubora wa bidhaa hizo na ni sehemu ya azma ya serikali ya kitaifa ya kuunga mkono sekta ya utengenezaji bidhaa humu nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive