Wafanyabiashara Embu wajiondoa muungano waliodai umeshindwa kuwatetea

  • | NTV Video
    23 views

    Wafanyabiashara katika Kaunti ya Embu wametangaza kujiondoa kutoka kwa muungano wao wa awali, wakilalamikia muungano huo kushindwa kutatua changamoto zao.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya