Wafanyabiashara kadhaa waendelea kukadiria hasara kutokana na uporaji wa biashara zao

  • | Citizen TV
    1,056 views

    Wafanyabiashara kadhaa wameendelea kukadiria hasara kutokana na uporaji wa biashara zao siku ya maandamano. Mmoja wa waathiriwa hawa ni Annabel Njambi ambaye alipoteza mamilioni baada ya maduka yake ya jumla na hata kituo cha mafuta kuporwa maeneo ya Kagumo na Kabati.