Wafanyabiashara katika eneo la MacKinnon wamezindua shughuli ya kusafisha soko hilo kila mwezi.

  • | KBC Video
    4 views

    Wafanyabiashara katika eneo la MacKinnon al-maarufu Marikiti katika Wadi ya mji wa Kale kaunti ya Mombasa wamezindua shughuli ya kusafisha soko Shughuli hiyo inanuiwa kuimarisha mazingira ya biashara na usafi kisiwani Mombasa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #KenyaElection2022 #News