Wafanyabiashara katika Soko la Gikomba wawasilisha ombi mahakamani kupinga ubomozi

  • | KBC Video
    18 views

    Zaidi ya Wafanyabiashara 200 katika Soko la Gikomba wamewasilisha ombi mahakamani kutafuta agizo la kusitisha ubomoaji unaoendelea wa majengo yao. Wafanyabiashara hao wanasema hawakupewa notisi ya kuondoka kama inavyohitajika kisheria.Hata hivyo watajua hatima yao tarehe 10 mwezi Juni, wakati mahakama itakapotoa uamuzi kuhusu kesi hiyo. Maelezo zaidi ni katika taarifa yake Ruth Wambui .

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive