Wafanyabiashara katika soko la Obambo watishia kutolipa ushuru kufuatia hali mbovu ya usafi sokoni

  • | Citizen TV
    285 views

    Wafanyabiashara katika soko la Obambo eneo bunge la Kisumu West sasa wametishia kutolipa ushuru kwa serikali ya kaunti, kufuatia hali mbovu ya usafi sokoni humo