Wafanyabiashara katika soko la Toi Nairobi wanakadiria hasara baada ya moto kuteketeza mali yao

  • | KBC Video
    39 views

    Wafanyabiashara katika soko la Toi , eneo la Kibera jijini Nairobi wanakadiria hasara ya mamilioni ya pesa, baada ya ya mali yao kuteketezwa na moto asubuhi ya leo. Inasemekana moto huo ulizuka majira ya saa tisa usiku. Na kama anavyoripoti mwanahabari wetu Abdiaziz Hashim, polisi wameanza uchunguzi wa kubaini chanzo cha moto huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #arson

    arson