- 4,302 viewsDuration: 1:30Wafanyabiashara zaidi ya 50 katika soko la Toi lililoko Woodley hapa nairobi ,wanakadiria hasara kubwa baada ya moto kuzuka mapema leo na kuteketeza biashara kadhaa. Moto huo unaodaiwa kusababishwa na hitilafu ya umeme ulienea kwa haraka, katika soko hilo na kuteketeza bidhaa zenye thamani ya mamilioni ya pesa. Wafanyabiashara walioathirika wametoa wito kwa serikali na wasamaria wema kuwasaidia kurejesha biashara zao.