Wafanyabiashara Kisumu watoa wito wa mashauriano na vijana

  • | KBC Video
    40 views

    Hali ya utulivu ilidumu mjini Kisumu baada ya maandamano ya wiki ya vijana wa kizazi cha sasa al-maarufu Gen Z. Wafanyibiashara mjini Kisumu wametoa wito kwa viongozi waliochaguliwa kuzungumza na vijana kwani wamepata hasara kubwa katika wiki mbili zilizopita kufuatia maandamano.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive