- 301 viewsDuration: 2:55Wafanyabiashara mtaani Eastleigh pamoja na watetezi wa haki sasa wanataka serikali kushughulikia visa vya utekejai nyara vilivyokithiri. Hii ni kufuatia ripoti kuwa katika muda wa siku kumi zilizopita, wafanyabiashara wanne wametekwa nyara mtaani humo huku watatu miongoni mwao wakiachiliwa katika