Wafanyabiashara na wakulima Nkareta, wameandamana kupinga hali mbovu ya barabara

  • | Citizen TV
    1,941 views

    Wafanyibiashara na wakulima wa eneo la Nkareta, Narok Kaskazini, wameandamana kupinga hali mbovu ya barabara ya kutoka Narok mjini keueleka Msitu wa Mau.