Wafanyabiashara soko la Ntulele walalamikia ugavi wa vibanda

  • | KBC Video
    12 views

    Wafanyabiashara katika kituo cha biashara cha Ntulele, Kaunti Ndogo ya Narok Mashariki, wanapinga kile wanachodai kuwa ni mpango wa kuwagawia watu kutoka nje vibanda katika soko jipya la kisasa lililozinduliwa na Rais William Ruto mwezi Juni mwaka huu likitarajiwa kuwahudumia wafanyabiashara 200.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive