- 4,763 viewsDuration: 3:11Watu wanaoishi kando ya mito na njia za maji jijini Nairobi wamepewa ilani ya kuondoka huku kamati ya pamoja ya serikali ya kaunti na serikali ya kitaifa ikitangaza mikakati ya kukabiliana na mafuriko. Hata hivyo, agizo hili la rais limekosolewa na miongoni mwa wengine wafanyabiashara katika eneo la Grogan lililoathirika zaidi na mafuriko jijini.