29 Jul 2026 10:15 am | Citizen TV 918 views Duration: 2:18 Wakazi wa Nanyuki kaunti ya Laikipia wapata afueni baada ya serikali kuongeza muda wa kambi ya wanajeshi wa Uingereza mjini humo baada ya mvutano kuhusu leseni.v